Siri ya mbaazi na faida zake
Mbaazi ni moja ya dawa za mitishamba zinazotibu mambo mengi ikiwemo kurudisha bikra ya msichana endapo majani yake yatatumika na kuandaliwa vyema. Tuwe makini katika kufuata njia za kuandaa dawa yetu.
MAANDALIZI YA KUANDAA MAJANI YA MBAAZI (kwa wanawake)
Chukua majani ya mbaazi kisha yatwang
Weka maji kidogo vaa kama pedi kwa muda wa wiki utaona mabadiliko
FAIDA ZA KUTUMIA MAJANI YA MBAAZI (kwa wanawake)
Kukausha uke
Kuondoa majimaji ukeni
Kuongeza joto ukeni wakati wa jimai
Kuongeza hamu ya tendo la ndoa
Husogeza kizazi karibu
Kusafisha kuta za uke
NB : Mbaazi ni mti wenye maajabu makubwa kuanzia Mizizi yake mpaka majani
TIBA KWA WATU WOTE
Dawa hii inaweza kutibu magonjwa yafuatayo
1-Inauwezo mkubwa wa kushusha homa
2-Husaidia kuponesha vidonda.
3-Husaidia kurekebisha mzunguko wa hedhi kwa wanawake.
4-Husaidia kupunguza uvimbe
5-Huponyesha kifua na kukohoa.
6-Husafisha kibofu/njia ya mkojo.
7- Huongeza kinga ya mwili dhidi ya magonjwa mbali mbali
Siri ya mbaazi na faida zake
Reviewed by Cadotz media
on
February 05, 2019
Rating:
Post a Comment