UMUHIMU WA KARAFUU KATIKA AFYA YAKO.

UMUHIMU WA KARAFUU KATIKA AFYA YAKO.

Karafuu ni kiungo na dawa muhimu sana na yenye thamani kubwa amabacho kimetumika kwa karne nyingi kutibu matatizo ya kumeng'enya chakula na mfumo wa kupumua kwa binadamu. 

Ina wingi wa vitamini A,C,K na B-complex' na madini muhimu kama 'manganese', 'selenium, 'iron', 'potassium' na 'magnesium'. Ina nguvu nyingi katika kupambana na maambukizo vya virusi, fungasi na bacteria ambazo huzuia jeraha mbichi kuvimba na pia kupoza maumivu wakati unapata jeraha. 

Sifa hii hufanya karafuu kuwa muhimu katika tiba ya maradhi mengi.


Karafuu husaidia 

  1. mfumo wa kumeng'enya chakula, gesi sugu, kukosa choo, kuvimba tumbo, 
  2. kichefuchefu na matatizo yanayoletwa na vyakula vyenye viungo vingi ili vyakula vile visidhuru mwili. 
  3. Huondoa maumivu ya misuli,kuumwa na kichwa na maumivu ya neva. 
  4. Pia hutumika kuua vidudu katika fizi, meno, ini, pafu, ngozi na mishipa ya kupumulia.
  5. Mafuta ya karafuu yana kichocheo cha 'eugenol' ambacho kina nguvu ya kupooza 
  6. kuondoa maumivu na harufu mbaya mdomoni.
  7. huifanya kutumika kupoza maumivu na kuondoa maumivu hasa ya meno na fizi. 
  8. Mafuta ya karafuu pia ni muhimu katika mfumo wa mzunguko wa damu na kuzuia damu kuganda. 
  9. Pia hutumika kutibu miguu kuvimba, 
  10. kutibu vidonda, vipele, mikwaruzo na kuchomeka.
  11. Ukifukiza mafuta ya karafuu kama unavyofukiza udi na uyanuse yale moshi inapunguza makali ya matatizo ya kupumua kama 'sinusitis', 'TB', 'bronchitis', 'asthma', mafua makuu na kukohoa,
  12. Karafuu huchanganywa na viungo vyengine kutengeneza mchanganyiko ambao hutumika kupikia chakula kama 'Curry Powder na Garam Masala barani India na hata huku Afrika mashariki. 
  13. Chai ya karafuu inasaidia kuupa nguvu mfumo wa kinga na kuondoa sumu mwilini. Weka vijiko viwili vya karafuu ndani ya vikombe viwili vya maji chemsha kwa dakika 10 funika, wacha itulie kama dakika 8, tia na kijiko cha asali ili upate faida zaidi.


Karafuu hupatikana masokoni au katika maduka ya viungo. Pia ipo katika mfumo wa vidonge, mafuta, chai yake na cream ambazo unaweza agiza kwenye mtandao au maduka ya dawa.




  • Faida ya karafuu katika kuchelewa kufika kileleni

Leo nataka niwape faida ya karafuu katika kuchelewa kufika kilele kwa lisaa1hadi lisaa 1:30 mpaka massa 2:00 kama unapumzi ya kutosha.

Chukua karafuu kijiko kidogo cha chai ponda upate unga wake, ule unga toa kidogo sana lowesha na maji upate mgando mgando chukua mgando huo paka kuzunguka shingo ya kichwa cha dudu alafu funga kwa kitambaa safi au mfuko wa rambo kiasi kwa Massa 2 hadi 3 kabla ya tukio la kugegeda.

Osha kwanza ndo upande, kiasi cha unga wa karafuu uliosalia, loweka na maji kwa dk10 kunywa kama juisi, hapo utakua umekamilisha dozi yako, angalizo usitumie hii kwa mtu ambaye si mke wako, wala kwa mke wa jirani yako, wala kwa mjakazi wake, maana utafunja ndoa yake, ama atahamia kwako, kua makini.
UMUHIMU WA KARAFUU KATIKA AFYA YAKO. UMUHIMU WA KARAFUU KATIKA AFYA YAKO. Reviewed by Cadotz media on August 29, 2020 Rating: 5

No comments

Ndugu ahsante kwa kuitembelea Cadotz, Endelea kufurahia huduma zetu pia Tunakusogezea Cadotz uchague unachokitaka katika menyu zetu.
Bofya chini

MIZIKI | MAPENZI | AFYA