JE WAJUA BINZARI MANJANO NI TIBA YA MAGONJWA ZAIDI YA 10?

Binzari manjano asili yake ni Mashariki ya mbali, na # Tanzania hulimwa zaidi Mikoa yenye nyuzi joto 24-26`. Mikoa hiyo ni: Tanga, Kilimanjaro, Kagera, Morogoro, Kigoma na Zanzibar.
Jina lake Kitaalamu ni
# Curcuma_domestica na Kiingereza hujulikana kama # Turmeric na Kiswahili huitwa # Binzari_Manjano , ambapo zao hili hustawi zaidi maeneo ya Mwambao na sehemu zenye umandeumande.
Kwenye # Binzari manjano kuna Protini, Mafuta, Madini, Nyuzinyuzi, Kabohidreti, Calcium, Phosphorus, Carotine, Thiamine, Niacin na Madini ya Chuma.
#Binzari_Manjano kitaalamu imethibitika kutibu # Minyoo , # Surua , Upungufu wa damu (Anaemia) na kuondoa # Asidi tumboni kwa kuchanganya na chumvi kdogo na maji ya uvuguvugu. Huweza pia kutibu # Asma ukichanganya na Maziwa Fresh.
Ukichanganya na # Asali huweza kutibu Maumivu ya koo, Baridi yabisi (common cold), Kikohozi kikavu, Hysteria, Maumivu ya Viungo, Kisukari, Upungufu wa Nguvu za uzazi, na Kupandisha kinga ya mwili.
Inauwezo pia wa kutibu # Macho (mtoto wa jicho) Majipu, Upele, Vidonda, Magonjwa ya Ngozi, Maumivu ya misuli,
Kuharisha damu, Lehemu, Kibofu na matatizo ya Kifua, Kushusha shinikizo la juu la damu (HBP), kusafisha Damu, Kuondoa matatizo ya nyongo na Magonjwa ya Ini.
Pia hufanya Ngozi ya mwili kuwa
# Nyororo (hii ni kwa kuchanganya na sandalwood na kujipaka mwilini-wapo baadhi ya wadada hujipaka usoni kama scrub lakini hawajui uhalisia wake mwingine).
NB: ukiumia na damu inazidi kuvuja tia unga huu itakatika, Watoto wanaokua wapewe unga huu katika maziwa kila siku itasaidia ukuaji wao na kuimarisha mifupa, kusafisha damu na kusaidia
# Usagaji wa Chakula tumboni, na pia kuzibua pua zinazoziba mara kwa mara (blocked nose).
# Maakuli BINZARI MANJANO, hutumika kwenye mishkaki, na samaki pamoja na mapishi mengine. (watu wa pwani (tanga) wanajua zaidi. Je! Ulikuwa wajua? (It’s Amazing right?)
TAHADHARI:
Unaponunua binzari manjano uwe mwangalifu kwani binzari nyingi zilizo kwenye soko zimechanganywa na vitu vingine visivyofaa kwa afya ya Binadamu: Hivyo nzuri ni zile zinazovunwa moja kwa moja Mashambani.
Iliyo halisi inakuwa imekoza rangi ya manjano sana na kuwa na harufu nzuri ya binzari manjano.
ILA NITAJARIBU JAPO KIDOGO KUTOWA KWA MUKHTASARI FAIDA ZAIDI MBALI NA HIZOO'
1=MANJANO MBICHI NA UKIISAGA KISHA UKIICHANGANYA NA ASALI MBICHI UKINYWA NI DAWA NZURI YA KUSAFISHA DAMU MWILINI,
2=MANJANO MBICHI NA ASALI UKINYWA NI DAWA KUMBWA NA SHINIKIZO LA DAMU LIWE LA CHINI AMA LA JUU( HIGH & LOW BLOOD PREASURE,)
3=MANJANO MBICHI NA ASALI NI DAWA YA KUONDOA MAFUTA HELEMU (CORESTROL) NDANI YA MIRIJA YA MISHIPA YA DAMU,
4=MANJANO MBICHI NA ASALI UKINYWA , HUSAIDIA KUZUIYA KUPATA UGONJWA WA KIARUSI , AMA KUPOOZA (STROKE),
5=MANJANO MBICHI, UNGA WA HABBATT SODA NA ASALI MBICHI NI DAWA KURAHISHISHA MFUMO WA MMENG'ENYO ( DIGETION FOOD)KWA WALE WENYE MATATIZO HAYOO,
6=MANJANO MBICHI NA MAFUTA YA HABBATT SODA HUSAIDIA KUONDOA MATATIZO YA VIDONDA VYA TUMBOO ( ALSAA),
7=MANJANO MBICHI NA YAI LA KUKU WA KIENYEJI , IKIPAKAA KWENYE NGOZI YAKO HUILINDA NGOZI YAKO KUIWEKA LAINII, PAMOJA NA KUILINDA NA KUCHAA KUWA KIBUDA, KUSINYAA, KUWA KAVU SANAKUUNGUWA NA JUA ( SUN BURN),
8=MANJANO YA YAI LA KUKU WA KIENYEJI, UNAPAKAA USONI NI DAWA YA CHUNUSI( PENPULS),
9=WATU WA VIJIJINI MBALI NA HOSPITALI, KAMA UMEJIKATA NA KISU , PANGA, JEMBE, UKITIA MANJANO YA UNGA ,TUMERIC POWDER, KWENYE JERAHA HUSIKA UNAZUIYA DAMU KUTOKA ( BLOOD CLOT) KAMA HUDUMA YA KWANZAA,
10= MANJANO YA HABBATT SODA UKITUMIA KIKOMBE CHA KAWAHA NUSU , HUKUWEZESHA MFUMO WAKO WA FAHAMU KUWA BORA ZAIDI ,
HIZO NDIO BAADHI YA FAIDA KIDOGO TUU ZA MANJANO

Reviewed by Cadotz media
on
July 12, 2019
Rating:
Post a Comment