Faida 10 za kiafya za kula tikiti maji

Tikiti maji ni moja kati ya matunda muhimu sana katika afya yetu

Tunda hili ni moja ya chanzo cha protini, fati ,Nyuzinyuzi ( fiber ) , Calcium, Phosphorus, Iron, Vitamin A, B6, C. Potasium, Magnesium, Carotene, n.k

Zifuatazo ni faida 10 za kula matikiti maji katika afya yako :


Faida 10 za tikitimaji
1.Hupunguza magonjwa ya moyo

2. Huondoa sumu katika mwili

3. Huzalisha nishati katika mwili

4. Huzuia kansa

5. Husafisha figo

6.Husaidia kupunguza shinikizo la damu

7. Asilimia 92 la tunda hili ni maji

8. Husaidia kupunguza uzito

9. Husaidia kudumisha afya ya macho

10. Husaidia kuponesha vidonda
Faida 10 za kiafya za kula tikiti maji Faida 10 za kiafya za kula tikiti maji Reviewed by Cadotz media on August 24, 2020 Rating: 5

No comments

Ndugu ahsante kwa kuitembelea Cadotz, Endelea kufurahia huduma zetu pia Tunakusogezea Cadotz uchague unachokitaka katika menyu zetu.
Bofya chini

MIZIKI | MAPENZI | AFYA