UKE KUTOA SAUTI

UKE KUTOA SAUTI
1 year ago




UKE KUTOA SAUTI

Kwa mwanamke ambae ameshawah kukutana na jambo hili zaid ya mara moja basi anajua ni fedhea kiasi gan hua anapata na kukosa hamu kabisa ya kuendelea na jimai 

SASA TATIZO SIO KUSKIKA KWA SAUT HUYO ILA NI MUME KUTO KUJUA NI NN HALI HIYO JE NI UGONJWA TATIZO AU NI JAMBO LA KAWAIDA AKISHA JUA HILI HATA WEZA KUMCHEKA MWANAMKE NA KUMUONA WA AJABU KIMAUMBILE

© tibazakissuna.blogspot.com 

KWANINI UKE HUTOA SAUTI 

Umbo la uke lipo katika hali ya mikunjo mikunjo kitaalam huitwa VAGINA RUGAE ambapo mikunjo hiyo ipo kama mikunjo ya bati sasa pindi inapo ingia hewa huiminya na kutoa nje ndo maana kuna mikao ukikaa hufanya uke kufinya hewa ile na hewa kutoka kwa kutoa sauti ima kwenye jimai kwenye mazoez au hata ukiwa unafanya usafi

© tibazakissuna.blogspot.com 

 IKIWA IMETOKEA WAKATI WA JIMAI

nilisha sema kua uke na uume hua mfano wa sindano za hospital ( injection ) unapo vuta hutoa fyonza hewa ilio ingia ndan au hufyonza dawa ulio iweka kwenye kichupa kitendo hiki hakina tofaut na uume kuiingia kwenye uke na kutoa 

kuna mikao ambapo hupelekea hewa kuingia na uume unapo toka ima kuingia huiminya hewa hiyo na hapo hutoa mlio 

ukiangalia kwa makini ni kama vile koromeo likipitisha jesi/hewa  hutoa mlio sawa sawa na huo japo huu unauita kucheua na ule una sema ni kama ushuzi lakin sio hivyo ikiwa utatafakari

© tibazakissuna.blogspot.com 

SABABU ZA UKE KUTOA MLIO 

UREFU WA UKE kutoka katika kizaz japo sio wote

UDOGO WA UUME HASWA UPANA (GIRTH) unaweza kua na uume mrefu na bahat mbaya ukawa sio mnene kuweza kushika kuta za uke na upepo kuweza kuingia pindi unapo ingiza

WATU WALIO JIFUNGUA japo sio wote

KUTANUA UKE kupita kias chake haswa katika mikao

© tibazakissuna.blogspot.com 

NINI CHA KUFANYA

ANGALIA MIKAO YA KUFANYA AMBAYO HAITA RUHUSU HEWA KUINGIA NDANI

TUMIA MAJI YA BARIDI KUJISAFISHIA UKE KILA UNAPO MALIZA RAUNDI KATIKA JIMAI AU KUJISAFISHA IMA UKIWA UMETOKA CHOONI AU ASUBUHI

FANYA MAZOEZI YA KEGEL yana faida nying sana na nimeshaelezea sana kwenye group la ilinde ndoa yako

© tibazakissuna.blogspot.com 
UKE KUTOA SAUTI UKE KUTOA SAUTI Reviewed by Cadotz media on September 28, 2018 Rating: 5

No comments

Ndugu ahsante kwa kuitembelea Cadotz, Endelea kufurahia huduma zetu pia Tunakusogezea Cadotz uchague unachokitaka katika menyu zetu.
Bofya chini

MIZIKI | MAPENZI | AFYA