JINSI YA KUTUMIA TAREHE /KALENDA KUPANGA NA KUEPUKA MIMBA

JINSI YA KUTUMIA TAREHE /KALENDA KUPANGA NA KUEPUKA MIMBA



Habari ndugu msomaji wa page hii, ni matumaini yangu unaendelea vizuri na kufurahia uwepo wa hii page, kutokana na maoni yenu juu ya kufunzwa jinsi ya kuweza kuhesabu mzunguko wa wenu wa hedhi kupanga na kuepuka mimba leo nipo hapa kuwajuza haya

~kutokana na wanawake wengi kutokujua mizunguko yao ya hedhi hivyo huwawia vigumu kujua ni siku gani akutane na mumewe au aepuke ili kubeba mimba au kutoshika mimba

~ni muhimu sana mwanamke kujua mzunguko wake wa hedhi, ambapo mizunguko hiyo ipo ya aina Tatu hivyo unapaswa kutambua mzunguko wako ni upi


NAMNA YA KUHESABU MZUNGUKO WAKO WA HEDHI

ili kujua siku nzuri ya kupata mimba au kuepuka ni lazima kwanza ujue siku ya KILELE (productive/fetal day) kwa maana kwamba ujue siku ambayo huitwa SIKU YA KUMI NA NNE
~Napenda mtambue kuwa wanawake mnatofautiana katika swala la urefu wa mzunguko wa hedhi (menstrual periods) yani idadi ya siku ya kwanza ya period mpaka hedhi ya pili
~wanawake wengi huwa mnafall Kwenye tarehe 22_35 ingawa wapo walio kawaida wanachukua siku 28 vilevile wengine Wana mizunguko miwili yani mfupi na mrefu hivyo walio na mzunguko mfupi mathalani wale wenye siku 22 huwa Wana kipindi kifupi cha utokaji damu yan damu inaweza kukatika ndani ya siku mbili huwa ni tofaut na mtu mwenye mzunguko wa siku 31_35 kwani wao huwa na kipindi kirefu cha utokaji damu


JE, UNAIJUA SIKU YA MIMBA???

~watu wengi na hata baadhi ya madaktari huwa wanachemka ktk swala hili la mzunguko wa hedhi na kutambua siku ya mimba ni ipi wao hufikiri siku ya mimba ni Ile siku ya kumi na nne baada ya

Dalili za kwanza za damu, wao huhesabu kuanzia Ile siku damu ilipoanza kutoka hadi siku ya kumi na nne, kwa utaratbu huu wengi wanafall hii ni kwasababu wanawake Wana mizunguko tofauti kwa urefu hivyo bas nakuelekeza ili ujue siku ya mimba ni ipi
Kwanza inabid ujue mzunguko wako ni upi???

Yan mfupi /mrefu /wa kawaida
baada ya kujua urefu wa mzunguko wako chagua (pin_ point) yani siku Ile ya mwisho halafu uhesabu kurudi nyuma (backwards) siku kumi na tano kuanzia siku Ile ya mwisho yani siku kumi na tano kuanzia mwisho ndio siku ya mimba, hapa namaansha ukishafahamu siku ya kumi na tano kutoka mwisho hukuwezesha kufaham siku ya kupata ujauzito
kwa utaratbu huu mdogo msomaji utagundua karibia wanawake wote au wew mwenyew unatumia njia za Zaman ambazo huwafaa watu wenye mzunguko wa siku 28 tu hivyo nakupa mifano Hai jinsi ya kutumia kalenda kwa mizunguko yote


MZUNGUKO WA SIKU 28

tengeneneza kalenda yako ya siku 28 yani hivi 1/2/3/4/5/6/7/8/9/10/11/12/13/
14/15/16/17/18/19/20/21/22/23/
24/25/26/27/28
Baada ya kuandaa hesabu kuanzia 28 mpaka siku ya kumi na tano ambayo itaangukia Kwenye (14th) day sasa hiyo ndio siku ya kubeba mimba kwa mwanamke yoyote mwenye mzunguko wa siku 28 Lakin kwakua kipindi cha ovulation kinaanza siku ya 4_5 kabla ya ovulation na humalizika masaa 24_48 hivyo unapaswa kujikinga kuanzia tareh 12_16 kuepuka mimba hii ni kwasababu mbegu za mwanaume Zina uwezo wa kudumu kwa masaa 24_48 baada ya kujamiiana,

NOTED :siku ya kwanza ndio siku unayoanza kubreed
MZUNGUKO WA SIKU 22
tengeneneza kalenda yako ya siku 22 yani hivi
1/2/3/4/5/6/7/8/9/10/11/12/13/
14/15/16/17/18/19/20/21/22/
Baada ya kuandaa hesabu kuanzia 22 kurudi nyuma mpaka siku ya kumi na tano ambayo itaangukia Kwenye (8th)hivyo siku hiyo ni siku ya hatar kubeba mimba ila kwa kuangalia ovulation inabid ujikinge kuanzia tarehe 6_10 kuepuka mimba hii ni kwasababu mbegu za mwanaume Zina uwezo wa kudumu kwa muda wa masaa 24_48 kumbuka tareh moja ndio siku unayoanza kubreed
MZUNGUKO WA SIKU 35
Tengeneneza kalenda yako ya siku 35 yani kama hivi
1/2/3/4/5/6/7/8/9/10/11/12/13/
14/15/16/17/18/19/20/21/22/23/
24/25/26/27/28/29/30/31/32/33/
34/35/
Baada ya kuandaa hesabu kuanzia 35 kurudi nyuma mpaka sku ya kumi na tano ambayo itaangukia Kwenye (21th)hivyo hiyo siku ni ya hatar kubeba mimba ila kutokana na ovulation inabid uanze kujizuia kuanzia tareh,19_23 kuepuka mimba hii ni kwasababu mbe
JINSI YA KUTUMIA TAREHE /KALENDA KUPANGA NA KUEPUKA MIMBA JINSI YA KUTUMIA TAREHE /KALENDA KUPANGA NA KUEPUKA MIMBA Reviewed by Cadotz media on June 25, 2019 Rating: 5

No comments

Ndugu ahsante kwa kuitembelea Cadotz, Endelea kufurahia huduma zetu pia Tunakusogezea Cadotz uchague unachokitaka katika menyu zetu.
Bofya chini

MIZIKI | MAPENZI | AFYA