ASALI na faida zake kiafya
ASALI
1 year ago
ASALI
Na Mola wako mlezi amemfunulia Nyuki. Jitengezee majumba yako katika milima, na katika miti, na katika wanayoyajenga watu. Kisha kula katika kila matunda, na upite katika njia za Mola wako Mlezi zilizofanywa nyepesi kuzipita. Na kutoka matumbo yao kinatoka kinywaji chenye rangi mbali mbali, ndani yake kina MATIBABU KWA WANADAMU. Akika katika haya ipo ishara kwa watu wano fikiri. Qur’an 16:68-69
UKIFIKIRIA NYUKI 60,000 HUTEMBEA ZAID YA MILE 55,000 KUTEMBELEA MAUA ZAID YA MILLION MBILI KUJA KUTENGENEZA ASALI JE KILA UA LINA TIBU NIN NA NIN
WENG TUNA SKIA KAMA SIO KUJUA ZAID KIUNDAN KUA ASALI INA MSAADA MKUBWA SANA KWA AFYA YA MWANADAMU
© tibazakissuna.blogspot.com
TUNA ASALI ZA NYUKI WAKUBWA NA ASALI ZA NYUKI WADOGO WANASEMA KUA ASALI YA NYUKI WADOGO NDIO NZUR ZAID NA ASALI AMBAYO MIMI NAJUA HAINA NGUVU NI ILE ASALI ILIO PITIA KWENYE JTO KALI MAANA HUUA VIRUTUBISHO
BASI LEO TUTAPITIA BAADHI YA MATUMIZ YA ASALI
KIFUA CHANGANYA MAJI YA LIMAO ASALI UPATE KIJIKO KUTWA MARA TATU KWA SIKU
KUTOKUPATA USINGIZI KULA VIJIKO VIWILI VYA ASALI
HUIMARISHA NA KUUKINGA MOYO KWA MARADHI YANAYO WEZA KUSHAMBULIA MOYO TUMIA KIJIKO KIMOJA CHA ASALI CHANGANYA KWA VIJIKO VIWILI VYA MDALASINI
MUWASHO WA MBAA KICHWANI CHANGANYA MAJI KIDOGO NA ASALI PAKAA BAADA YA DAKIKA KADHAA MUASHO UNAKWISHA
© tibazakissuna.blogspot.com
ASTHMA CHANGANYA PILIPILI MANGA ASALI NA KARAFUU
KWA KIDONDA KABLA YA PENINCILIN WATU WALIKUA WAKITUMIA ASALI KUKINGA KIDONDA KUTOKANA NA MAGONJWA SHAMBULIZI KWENYE KIDONDA ILA UKIUNGUA HAKIKISHA KWANZA UNAPOOZA KIDONDA KWA MAJI BARID KISHA UPAKAE ASALI
BAWASIRI CHANGANYA ASALI NA MAFUTA YA ZAITUNI PAKAA
HUTIBU UTI SUGU CHANGANYA ASALI NA UNGA WA MDALASINI TUMIA VIJIKO VIWILI MARA TATU KWA SIKU
HUSAIDIA MMENGENYO NA KIUNGULIA KULA KIJIKO KIMOJA KABLA AU BAADA YA KULA
© tibazakissuna.blogspot.com
HUTOA CHUNUSI NA HUTUMIKA KAMA SEHEMU YA KUFANYA UREMBO
KWA CHUNUSI CHUKUA LIMAO ASALI CHANGANYA PAKAA NA OSHA NUSUU SAA BAADA YA KUPAKAA KWA MAJI MOTO
KUONDOA UKAVU WA NGOZI CHANGANYA ASALI MAFUTA YA ALMOND NA MAFUTA YA ZAITUNI PAKAA
KUNUKA MDOMO CHUKUA ASALI NA MDALASINI CHANGANYA UPATE TOPE PIGIA MSWAKI
© tibazakissuna.blogspot.com
KUPUNGUZA UZITO TUMIA ASALI NA MDALASINI ANZA KUCHEMSHA MAJI WEKA MDALASIN UCHEMKIE NDSN YAKE KISHA IKIPOA WEKA ASALI KUNYWA MARA MBILI KWA SIKU ILA HAKIKISHA UNAPO KULA CHAKULA KULA USISHIBE
KUONGEZA NGUVU ZA KIUME TUMIA ASALI MDALASINI HABAT SAUDA NA TANGAWIZI
KWA ALLERGY PENDA KUTUMIA ASALI KILA SIKU KIJIKO KIMOJA
© tibazakissuna.blogspot.com
LIMBWATA TUMIA ASALI KIJIKO KUTWA MARA TATU
HUIMARISHA AFYA NA KUMPA MWANADAMU NGUVU YA UTENDAJI WA KAZI ZAKE NA UBONGO KUA NA NISHAT YA KAZ
ASALI PIA ILITUMIKA KUPUNGUZA MAKALI YA BAADHI YA DAWA AMBAZO NI KALI UKITUMIA KAMA MWANADAMU
USIPENDE KUWAPA WATOTO WACHANGA ASALI MAANA MMENGENYO WAO BADO HAUJAKOMAA
KWA HAYA MACHACHE TUMSHUKURU MUUMBA NA KUMTUKUZA KWA MAPENZ YAKE KWETU
ASALI na faida zake kiafya
Reviewed by Cadotz media
on
September 28, 2018
Rating:
Post a Comment