Tumia njia ya asili kurejesha heshima ya ndoa


>KUREJESHA HESHIMA YA NDOA NA KUONDOA TATIZO LA KUWAHI KUMALIZA mapema KTK TENDO la ndoa NA KUSHINDWA KUREJEA TENA TEDO La ndoa>>(tiba yake siku 7 tu)
0717969170


HAKUNA MWANAMKE DUNIANI ANE MPENDA AU KUMVUMILIA MWANAUME MWENYE DALILI HIVI HATA KAMA ANAPESA NA MALI
+255717969170 call/txt/watsapp

USIPIGE SIMU BILA KUSOMA KWA KINA


Mtu mwenye tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume huwa na dalili zifuatazo ;

1. Kushindwa kabisa kusimamisha uume wake

2. Uume kusimama ukiwa legelege

3. Kuwahi kumaliza tendo la ndoa

4. Mwanaume kutokuwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa katika baadhi ya staili ( Mara nyingi mwanaume huyu huwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa staili moja tu ).

Hapa mwanaume anakuwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa kwa staili ya “ missionary” pekee. Ikibadilishwa staili,

mwanaume anakuwa hana tena uwezo wa kusimamisha uume wake japo katika hali ya u lege lege

5. Uume kutokuwa na uwezo wa kusimama wenyewe bila kushikwashikwa ama kutomaswa kwa muda mrefu.

6. Uume kusinyaa ukiwa ndani ya mwanamke.

7. Uume kusinyaa, pindi inapotokea activity yoyote ya kiungo ama ogani nyingine ya mwanaume wakati wa tendo la ndoa. Kwa mfano, wakati wa tendo la ndoa, ikitokea mwanaume amekohoa au kupiga chafya, uume nao unasinyaa.

8. Uume kusinyaa mara tu baada ya kutolewa ndani ya uke ( Kwa mfano kama unafanya tendo la ndoa, halafu uume ukatoka nje, kitendo cha kuushika kuurudisha ndani, tayari una sinyaa )

9. Kutokuwa na uwezo wa kurudia tendo la ndoa.

10. Kupatwa na maumivu wakati wa tendo la ndoa.

VIASHIRIA VYA MWANAUME ASIYE NA TATIZO LA UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME.

Mwanaume asiye na tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume, huonyesha ishara zifuatazo ;

i. Uume husimama ukiwa imara kama msumari.

ii. Hukaa kifuani kwa muda mrefu ( Wastani ni kati ya dakika 20 hadi 45 )

iii. Huweza kurudia tendo la ndoa zaidi ya mara tatu bila misuli ya uume kuchoka.

iv. Huweza kufanya
tendo la ndoa kwa staili yoyote ile

v. Uume husimama wenyewe bila kushikwa shikwa wala kuwa stimulated kwa namna yoyote ile

vi. Kwa ufupi anakuwa na uwezo wa kufanya na kukamilisha tendo la ndoa kwa uukamilifu mkubwa.


TIBA ASILIA YA TATIZO LA UKOSEFU/
UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.

Dawa asilia ya Kashaga na trick zake ni dawa asilia inayo tibu na kuponyesha kabisa tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume kabisa ndan ya siku 7 mpaka 14 kwa uwezo wa mwenyezi mungu

MFUMO WA DAWA
Dozi ya dawa ya Kashaga ni mkusanyiko wa dawa nyingi asilia zenye uwezo mkubwa sana katika kutibu na kuponyesha kabisa tatizo la ukosefu/
upungufu wa nguvu za kiume.

Dawa ipo ktk mfumo wa Kimiminika au unga


Namna kwa kutumia

i) Mdalasini (Cinnamon)
ii) Kitunguu Saumu (Garlic)
iii) Ginger (Tangawizi)
iv) Pilipili Manga (Black pepper)
v) Karafuu (Clove)/Zanzibar Tea Masala
vi) Habat soda/Habat sawda (Black seed)

vii) Unga wa Soya (Soya flour)
viii) Asali


HIFUATAYO HAPA CHINI NI DAWA YA BURE KWA NDUGU ZANGU WASIO NA PESA

Chukuwa lita moja ya asali safi ya asili ambayo haijachakachuliwa, ongeza vijiko vikubwa
4 vya mdalasini ya unga changanya vizuri pamoja. Lamba kijiko kimoja kikubwa cha chakula kila unapoenda kulala. Fanya hivi kwa mwezi mmoja.


KAZI YA DAWA YA KASHAGA NA TRICK ZAKE

1. Inasaidia kuimarisha mishipa ya uume ulio legea na hivyo kuufanya uume uwe na uwezo wa kusimama barabara kama msumari wakati wa tendo la ndoa.

2. Inasaidia kusafisha mishipa ya kwenye uume na hivyo kusaidia katika kuongeza kasi ya msukumo wa damu kwenye mishipa ya kwenye uume.

3. Huongeza damu mwilini

4. Husaidia kuongeza msukumo (pressure) wa damu kwenye mishipa ya uume na hivyo kuufanya uume kuwa na nguvu za ajabu.

5. Huipa misuli ya uume uwezo wa kuziba wa kuizuia mishipa ya vena kunyonya damu kwenye mishipa ya uume wakati wa tendo la ndoa na matokeo yake kukupa uwezo wa kufanya tendo la ndoa kwa muda mrefu
( Kuzuia hali ya kufika kileleni haraka )

6. Husaidia kurelax mind na hivyo kumfanya mtu awe na uwezo wa kuconcentrate wakati wa tendo la ndoa bila kuathiriwa na msongo wa mawazo

7. Hurejesha, kuimarisha na kuboresha ushirikiano kati ya mishipa ya fahamu ya kwenye ubongo (nerves), mishipa ya kwenye uti wa mgongo pamoja na mishipa ya kwenye uume

8. Humfanya mwanaume awe na uwezo wa kurudia tendo la ndoa mara nyingi zaidi bila kuchoka.

9. Husaidia kuongeza hamu ya tendo la ndoa.

10. Husaidia kuurudisha nje uume ulio ingia ndani.

11. Husaidia kutibu side effects za punyeto na matumizi ya muda mrefu ya dawa kali za (za kizungu ) za kuongeza nguvu za kiume.

12. Husaidia kutibu chango la kiume.

13. Dawa hii huwasaidia hata wanawake wanao sumbuliwa na tatizo la ukosefu wa hamu ya tendo la ndoa.
Tumia njia ya asili kurejesha heshima ya ndoa Tumia njia ya asili kurejesha heshima ya ndoa Reviewed by Cadotz media on March 24, 2019 Rating: 5

No comments

Ndugu ahsante kwa kuitembelea Cadotz, Endelea kufurahia huduma zetu pia Tunakusogezea Cadotz uchague unachokitaka katika menyu zetu.
Bofya chini

MIZIKI | MAPENZI | AFYA